IBADA YA KWANZA YA JUMAPILI 2025: MWAKA WA KUSIMAMA KWENYE NAFASI KUCHUKUA MILKI YAKO.
HTML-код
- Опубликовано: 11 фев 2025
- Kanisa la Efatha Mbeya, linaongozwa na Mchungaji kiongozi wa mkoa wa Mbeya Joshua Josephat Mwingira.
Kanisa lipo Mbeya Mjini: Forest Mpya karibu na Hospitali ya Mkoani Mbeya.
RATIBA ZA IBADA
Jumatatu: Semina ya wafanyabiashara na wafanyakazi
Muda: Saa 11:00 jioni adi 1:00 Usiku
Jumatano: Semina ya Kusifu na kuabudu
Muda: Saa 10:30 jioni adi 12:00 jioni
Alhamis: Semina ya Ukombozi wa Akili
Muda: Saa 10:00 jioni adi 12:00 jioni
Jumamosi: Semina ya Vijana
Muda: Saa 10:00 jioni adi 12:00 jioni
Jumapili: Ibada Maalumu ya Jumapili
Muda: Saa 2:00 asubuhi adi 5:00 Asubuhi
Karibu Upendwae sana.
Mungu anakupenda